Swali: Vipi ikiwa mtu atakusanya kati ya ijumaa na ´Aswr?

Jibu: Hapana, swalah ya ijumaa haikusanywi na ´Aswr. Haiswaliwi pamoja na ijumaa. Inaswaliwa ndani ya wakati wake. ´Aswr inajumuishwa na Dhuhr na si ijumaa.

Swali: Vipi ikiwa ameshafanya?

Jibu: Wairudie. Kama wamekusanya basi wairudie ´Aswr.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25122/ما-حكم-جمع-العصر-مع-صلاة-الجمعة
  • Imechapishwa: 06/02/2025