Swali: Kutaamiliana na watu wa Bid´ah inakuwa kwa upole au kwa ukali?
Jibu: Wajinga katika wao inatakiwa wataamiliwe kwa upole na kufundishwa. Ama wale wakaidi na wale wanaojua kuwa jambo hili ni Bid´ah, hawa wataamiliwe kwa yale yanayowapasa katika kuwasusa, kuwatia adabu kwa wale walio na utawala na uwezo mpaka waachane na Bid´ah zao na kuzieneza kwa watu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (42) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-22.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)