Walinganizi wa Answaar-us-Sunnah ni wa maslahi

Swali: Ni zipi nasaha zako kwa vijana wa kisudani na wachukue msimamo gani juu ya Answaar-us-Sunnah?

Jibu: Ninawanasihi watafute elimu na wajiepushe na kundi la Answaar-us-Sunnah. Hakika wamekuwa ni walinganizi wa Bid´ah na walinganizi wa pesa.

Kuhusu kujifunza elimu natamani awepo mmoja katika ndugu zetu atakayeenda huko na ndugu zetu wasudani wafaidike kutoka kwake ijapokuwa itakuwa ni kwa muda wa mwezi mitatu na awafunze namna watakavyonufaika kutoka kwenye vitabu vya Sunnah.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://sudansalaf.blogspot.no/2014/03/blog-post_9469.html
  • Imechapishwa: 30/08/2020