22Usiku ule Yakobo akaamka akawachukua wake zake wawili, watumishi wake wawili wa kike na wanawe kumi na mmoja na akavuka kivuko cha Yaboki. 23Baada ya kuwavusha ngʼambo ya kijito, alivusha pia mali zake zote. 24Kwa hiyo Yakobo akaachwa peke yake.
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mwanzo 32:22-24
- Imechapishwa: 13/01/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
Wakeze Usau katika Biblia
6Sasa Esau akajua kuwa Isaki amembariki Yakobo na kumtuma kwenda Padan-Aramu ili achukue mke huko na kwamba alipombariki alimwamuru akisema: “Usioe mke katika binti za Wakanaani”, 7tena kwamba Yakobo amewatii baba yake na mama yake naye amekwenda Padan-Aramu. 8Esau akatambua jinsi ambavyo baba yake Isaki anavyowachukia binti za Wakanaani. 9Ndipo Esau akaenda…
In "Uoaji wa wake wengi katika Biblia"
Ukoo wa Yesu kristo na kwamba ni mja wa kawaida
1Ukoo wa Yesu Kristu, mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu. 2Ibrahimu alimzaa Isaka, Isaka akamzaa Yakobo, Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake, 3Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari, Peresi akamzaa Esromu, Esromu akamzaa Aramu, 4Aramu akamzaa Aminadabu, Aminadabu akamzaa Nashoni, Nashoni akamzaa Salmoni, 5Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu, Boazi…
In "Yesu ni mungu kwa mujibu wa Biblia?"
Abrahamu na wakeze wawili katika Biblia
3Kisha, Sarai akampa Abrahamu Hagari, mjakazi wake ambaye alikuwa Mmisri, awe mke wake. Haya yalitokea baada ya Abrahamu kukaa katika nchi ya Kanaani kwa muda wa miaka kumi. 4Abrahamu akamchukua Hagari, naye Hagari akapata mimba. Lakini mara tu alipoona amepata mimba, Hagari akaanza kumdharau bimkubwa wake. 5Sarai akamwambia Abrahamu: “Wewe utawajibika kwa…
In "Utumwa na ujakazi katika Biblia"