22Usiku ule Yakobo akaamka akawachukua wake zake wawili, watumishi wake wawili wa kike na wanawe kumi na mmoja na akavuka kivuko cha Yaboki. 23Baada ya kuwavusha ngʼambo ya kijito, alivusha pia mali zake zote. 24Kwa hiyo Yakobo akaachwa peke yake.
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mwanzo 32:22-24
- Imechapishwa: 13/01/2020
22Usiku ule Yakobo akaamka akawachukua wake zake wawili, watumishi wake wawili wa kike na wanawe kumi na mmoja na akavuka kivuko cha Yaboki. 23Baada ya kuwavusha ngʼambo ya kijito, alivusha pia mali zake zote. 24Kwa hiyo Yakobo akaachwa peke yake.
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Mwanzo 32:22-24
Imechapishwa: 13/01/2020
https://firqatunnajia.com/wakeze-na-wajakazi-wa-yakobo-katika-biblia/