Ukoo wa Yesu kristo na kwamba ni mja wa kawaida

1Ukoo wa Yesu Kristu, mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu. 2Ibrahimu alimzaa Isaka, Isaka akamzaa Yakobo, Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake, 3Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari, Peresi akamzaa Esromu, Esromu akamzaa Aramu, 4Aramu akamzaa Aminadabu, Aminadabu akamzaa Nashoni, Nashoni akamzaa Salmoni, 5Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu, Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu, Obedi akamzaa Yese, 6 Yese akamzaa Daudi ambaye alikuwa mfalme. Daudi alikuwa baba yake Solmoni ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria, 7Solmoni akamzaa Rehoboamu, Rehoboamu akamzaa Abiya, Abiya akamzaa Asa… “

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Mathayo 1:1
  • Imechapishwa: 13/02/2020