Swali: Nimeokota pesa ambayo ikanibainikia kuwa mwenye nayo ni kafiri. Je, nimpe nazo au nizichukue mimi mwenyewe?
Jibu: Pesa za kafiri ni zenye kuheshimiwa. Muda wa kuwa sio kafiri wa vita pesa zake ni zenye kuheshimiwa. Kwa msemo mwingine zitahifadhiwa na kupelekwa kwake kwa amana. Ni jambo ambalo linafahamisha sifa pekee ya Uislamu pia.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
- Imechapishwa: 04/03/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket