Mashindano ya ngamia warembo

Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Hakuna mashindano isipokuwa katika ngamia, farasi au risasi.”[1]

Hiyo ina maana kwamba mashindano ya ngamia warembo yanafaa?

Jibu: Hapana. Haijuzu. Ni katika kamari. Ukiongezea pia kwamba hutumika pesa nyingi.

[1] Abû Dâwûd (2574). Autentisk enligt al-Albânî i “Sahîh Sunan Abî Dâwûd” (2574).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
  • Imechapishwa: 04/03/2022