Uvuaji katika du´aa ya kuyatembelea makaburi

Swali: Vipi uvuaji hapa wakati (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliposema:

السلام عليكم أهل الديار من المؤمنين والمسلمين وإنا إن شاء الله بكم لاحقون نسأل الله لنا ولكم العافية يرحم الله المستقدمين منا والمستأخرين

“Amani ya Allaah iwe juu yenu wakazi waumini na waislamu. Nasi – Allaah akitaka – tutaungana na nyinyi. Tunamuomba Allaah juu yetu sisi na nyinyi afya. Allaah amrehemu aliyetangulia katika sisi na atakayekuja baadaye.”?

Swali: Ni kwa ajili ya kutafuta baraka.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22317/معنى-ان-شاء-الله-بكم-لاحقون-في-دعاء-القبر
  • Imechapishwa: 04/02/2023