Swali: Qiyaamah kitawakuta waumini au kutakuja upepo kabla yake?
Jibu: Kutakuja upepo mzuri ambao utazitoa roho za waumini. Qiyaamah kitawasimamia waovu peke yao. Watu wote wanasubiri Qiyaamah; wakijiwa na zile alama vinginevyo watakuwa ni miongoni mwa waovu endapo watafikiwa na Qiyaamah.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22316/هل-تقبض-الريح-المومنين-قبل-قيام-الساعة
- Imechapishwa: 04/02/2023