Swali: Baadhi ya wanachuoni wanasema Tawassul ni suala la ki-Fiqh na sio la ki-´Aqiydah. Vipi kuhusu hilo?
Jibu: Kufanya Tawassul katika du´aa kwa jaha ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), dhati yake au manzilah yake ni kitu hakikuwekwa katika Shari´ah. Ni njia inayopelekea katika shirki. Utafiti katika suala hili ili kubainisha haki [imetubainikia kuwa] ni suala la ki-´Aqiydah.
Kuhusu kufanya Tawassul kwa Allaah kwa majina Yake, sifa Zake, kwa kumfuata Mtume na kwa matendo juu ya ´Aqiydah na hukumu alizokuja nazo ni jambo lililowekwa katika Shari´ah.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/347)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket