Swali: Je, inafaa kwa mwanaume kuswali Tarawiyh nyumbani na familia yake?
Jibu: Hapana vibaya kufanya hivo. Ndio bora kama tulivyotangulia kusema.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 86
- Imechapishwa: 21/03/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
47. Ni bora kuswali Tarawiyh na imamu au nyumbani na familia?
Swali 47: Ni lipi lililo bora mtu aswali Tarawiyh pamoja na imamu au nyumbani pamoja na familia kwa kuwa wanafamilia hawajui kusoma Qur-aan? Jibu: Hapana shaka kwamba kuswali nyumbani na kuswali na familia ndio bora zaidi. Inafaa vilevile akaswali na imamu kisha akarudi nyumbani kabla ya Witr kuswali na familia.…
In "Fataawaas-Swiyaam"
Tarawiyh nyumbani au msikitini? 2
Swali: Kuhusu swalah ya Tarawiyh ni bora kuiswali nyumbani au pamoja na mkusanyiko msikitini? Jibu: Bora ni pamoja na mkusanyiko msikitini. Tarawiyh ni alama miongoni mwa alama za Kiislamu zilizo wazi. Hivyo aswali Tarawiyh pamoja na mkusanyiko msikitini. Hata hivyo ikiwa ataiswali nyumbani pia ni sawa.
In "Swalah ya Tarawiyh"
Tarawiyh mkusanyiko wanawake nyumbani III
Swali: Wasichana inapofika Ramadhaan wanakusanyika katika nyumba ya mmoja wao na wanaswali swalah ya Tarawiyh mkusanyiko. Je, kitendo hichi kinafaa au ni katika Bid´ah? Sisi katika kijiji hicho hatwendi msikitini na wanamme kwa sababu ya kuchelea fitina. Jibu: Hili ni zuri na haina neno. Hapana vibaya wakiswali pamoja Tarawiyh mkusanyiko.
In "Tarawiyh kwa mwanamke"