Tarawiyh mkusanyiko wanawake nyumbani III

Swali: Wasichana inapofika Ramadhaan wanakusanyika katika nyumba ya mmoja wao na wanaswali swalah ya Tarawiyh mkusanyiko. Je, kitendo hichi kinafaa au ni katika Bid´ah? Sisi katika kijiji hicho hatwendi msikitini na wanamme kwa sababu ya kuchelea fitina.

Jibu: Hili ni zuri na haina neno. Hapana vibaya wakiswali pamoja Tarawiyh mkusanyiko.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/14490/حكم-اجتماع-النساء-لصلاة-التراويح
  • Imechapishwa: 08/04/2023