Swalah ya imamu ambaye maamuma wanamchukia

Swali: Je, swalah ya mtu anayeongoza watu ambao wanamchukia ni sahihi?

Jibu: Ndiyo, swalah yake ni sahihi ingawa anapata dhambi.

Swali: Vipi ikiwa hajui kwamba wanamchukia?

Jibu: Ikiwa hajui, hakuna dhambi juu yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24914/حكم-صلاة-من-صلى-بقوم-وهم-له-كارهون
  • Imechapishwa: 03/01/2025