Uimamu wa mwanamke na wanawake wenzake

Swali: Vipi kuhusu uongozaji wa swalah wa mwanamke anapowaswalisha wanawake wenzake?

Jibu: Atasimama katikati yao, katikati ya safu ya kwanza. Mwanamke hapaswi kusimama mbele ya safu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24915/موضع-امامة-المراة-اذا-صلت-بالنساء-جماعة
  • Imechapishwa: 03/01/2025