Katika hali hii ni sawa kwa imamu kusimama katikati ya safu

Swali: Ikiwa imamu hakusimama mbele ya safu na badala yake akaswali katikati ya safu?

Jibu: Swalah yake ni sahihi, lakini ameenda kinyume na Sunnah. Isipokuwa ikiwa wakati wa haja, kama vile ukosefu wa nafasi, ambapo waumini watapanga safu pamoja naye.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24917/حكم-صلاة-الامام-وسط-الصف-عند-الحاجة
  • Imechapishwa: 04/01/2025