Swali: Ni ipi hukumu ya kukhitimisha Qur-aan ndani ya usiku mmoja?
Jibu: Ni sawa akiweza kufanya hivo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14041434.mp3
- Imechapishwa: 13/04/2023