Swali: Ni ipi niaba katika Hajj na ´Umrah inakuwa inajuzu kwa nisba ya aliehai na maiti?

Jibu: Kwa nisba ya aliehai hahijiwi isipokuwa (Hajj ya) faradhi pale ataposhindwa kujihijia. Ama maiti hakuna neno akahijiwa, sawa ikiwa ni faradhi na Naafilah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (74) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14131
  • Imechapishwa: 17/11/2014