Baba kuoa mwanamke aliyetalikiwa na mtoto wake

Swali: Je, inajuzu kwa baba kumuoa mwanamke mtoto akimuoa na akamtaliki?

Jibu: Hapana:

وَحَلَائِلُ أَبْنَائِكُمُ

“…. na [mmeharamishwa] wake wa watoto wenu waliotoka katika migongo yenu.” (04:23)

Hili ni Mutlaq, sawa ikiwa alimwingilia au hakumwingilia. Anakuwa ni haramu kwa baba.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (03) Sharh Zaad-il-Ma´aad (74) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14131
  • Imechapishwa: 17/11/2014