Swali: Inapendeza kumsamehe mtu au ni kwa njia ya ulazima?
Jibu: Hapana, ni kwa njia ya kupendeza. Vinginevyo inafaa kwa mtu kuomba haki yake na alipize kisasi akiona kuna manufaa ya kufanya hivo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22380/هل-العفو-واجب-ام-مندوب
- Imechapishwa: 25/02/2023