Swali: Mwanamke akipita mbele ya mswaliji mwanaume au mwanamke mwenzake?
Jibu: Ndio, ni yenye kuenea. Mambo matatu yanakata swalah ya mwanaume na ya mwanamke: Punda, mbwa mweusi na mwanamke. Mwanamke anakata swalah ya mwanamke mwenzake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23671/هل-يقطع-مرور-المراة-صلاة-الرجل-والمراة
- Imechapishwa: 26/03/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)