Moja katika alama za al-Ikhwaan al-Muslimuun ni kutumia majina bandia yenye kuchupa mipaka. Wanaweza kuwaita watu kuwa ni wakomunisti na mengine kwa wale ambao hawakujiunga nao. Alama nyingine ni kwamba wanawakimbiza watu mbali na wanazuoni na kuwatia ujinga juu ya mambo ya kisasa. Wanayasema hayo juu ya Shaykh Ibn Baaz, Shaykh al-Albaaniy na wengineo.

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 112
  • Imechapishwa: 23/01/2025