Elimu haifikiwi isipokuwa kwa bidii, ijtihadi na kuipa nyonyo dunia. Miongoni mwa mambo yatayokusaidia ni wewe kusoma wasifu wa al-Bukhaariy, Imaam Ahmad, Yahyaa bin Ma´iyn, Abu Haatim na Abu Zur´ah. Soma wasifu wa Salaf uone namna walivyokuwa wakiipa kisogo dunia. Mkisoma basi mtaridhia kile ambacho Allaah amekukadirieni. Waislamu wana haja kubwa ya wanazuoni. Wanawahitaji zaidi kuliko wafanyabiashara, wahandisi na madaktari. Wanawahitaji wanazuoni ambao watawafikishia Shari´ah ilio safi kama ilivyokuja kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 146
- Imechapishwa: 23/01/2025
Elimu haifikiwi isipokuwa kwa bidii, ijtihadi na kuipa nyonyo dunia. Miongoni mwa mambo yatayokusaidia ni wewe kusoma wasifu wa al-Bukhaariy, Imaam Ahmad, Yahyaa bin Ma´iyn, Abu Haatim na Abu Zur´ah. Soma wasifu wa Salaf uone namna walivyokuwa wakiipa kisogo dunia. Mkisoma basi mtaridhia kile ambacho Allaah amekukadirieni. Waislamu wana haja kubwa ya wanazuoni. Wanawahitaji zaidi kuliko wafanyabiashara, wahandisi na madaktari. Wanawahitaji wanazuoni ambao watawafikishia Shari´ah ilio safi kama ilivyokuja kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 146
Imechapishwa: 23/01/2025
https://firqatunnajia.com/hivi-ndivo-utafikia-elimu/