Msichana kutumia vito vyake bila idhini ya wazazi

Swali: Je, inafaa kuuza baadhi ya vitu ninavyomiliki katika dhahabu pasi na wazazi wangu kujua kwa sababu ninahitaji sana na ninastahi kuwaomba.

Jibu: Hivyo ni milki yako. Vito ni milki yako. Inafaa kwake kuvitumia vile unavotaka. Asikuingilie yeyote katika jambo hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ta´liyqaat ´alaa Risaalah wujuub-il-´Amr bil-Ma´ruuf wan-Nahiy ´an al-Munkar (05)
  • Imechapishwa: 17/02/2024