Swali: Afanye nini mwanamme anayeamka na janaba mwishoni mwa wakati wa ´Aswr na hajaswali Dhuhr?
Jibu: Aharakishe kuanza kuswali Dhuhr, kisha ndio aswali ´Aswr.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ta´liyqaat ´alaa Risaalah wujuub-il-´Amr bil-Ma´ruuf wan-Nahiy ´an al-Munkar (05)
- Imechapishwa: 17/02/2024
Swali: Afanye nini mwanamme anayeamka na janaba mwishoni mwa wakati wa ´Aswr na hajaswali Dhuhr?
Jibu: Aharakishe kuanza kuswali Dhuhr, kisha ndio aswali ´Aswr.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ta´liyqaat ´alaa Risaalah wujuub-il-´Amr bil-Ma´ruuf wan-Nahiy ´an al-Munkar (05)
Imechapishwa: 17/02/2024
https://firqatunnajia.com/ameamka-na-janaba-kabla-ya-maghrib/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)