Jukumu lako wakati maktabah ya msikiti ina vitabu vya Ahl-ul-Bid´ah

Swali: Ikiwa maktabah ya msikiti ina vitabu vya Ahl-ul-Bid´ah wadh-Dhwalaal – je, itafaa kwangu kuvichukua na kuvichana?

Jibu: Wazungumzishe wahusika wa maktbah hiyo ili waviondoe vitabu hivo. Ama wewe usiviondoe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ta´liyqaat ´alaa Risaalah wujuub-il-´Amr bil-Ma´ruuf wan-Nahiy ´an al-Munkar (05)
  • Imechapishwa: 17/02/2024