“Hebu mwache akuombee du´aa mbaya”

Swali: Unasema juu ya mwenye kusema:

“Lisome swali langu kwa Shaykh vinginevyo nitakusomea du´aa mbaya.”?

Jibu: Mwache akuombee du´aa mbaya. Akikuombea du´aa mbaya unadhania kuwa itajibiwa? Huku ni kuchupa mipaka katika kuomba du´aa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ta´liyqaat ´alaa Risaalah wujuub-il-´Amr bil-Ma´ruuf wan-Nahiy ´an al-Munkar (05)
  • Imechapishwa: 17/02/2024