Swali: Je, mume anaweza kumuamrisha mke wake kuvaa suruwali [nyumbani] kwake tu?
Jibu: Hapana, asimuamrishe hilo. Asimuamrishe hilo, kwa kuwa suruwali si katika mavazi ya wanawake khaswa katika jamii yetu hii. [Mume] akimpa ruhusa, atampa ruhusa katika hali nyinginezo zisizokuwa hizi na ataichukulia sahali katika kuivaa. Asimwamrishe mke wake kufanya munkari, amuamrishe kufanya mazuri.
- Muhusika: ´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.youtube.com/watch?v=kv7AedjU2P8
- Imechapishwa: 07/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)