Mwanamke kuvaa punjabi yenye suruwali 

Swali: Baada ya kuangalia mavazi yaliyopo madukani na tukapata zinazositiri, tukapata vazi linaloitwa “punjabi”. Nayo ni kanzu ya wasaa inayofunika hadi nusu ya magoti. Chini ya hio mtu huvaa suruwali ndefu na ya wasaa…

al-Fawzaan: Ni suruwali?

Muulizaji: Ndio.

Jibu: Hapana, haiwezekani. Suruwali haiwezekani.

Check Also

Mke amtii mume anayemwamrisha kuvaa suruwali?

Swali: Je, mume anaweza kumuamrisha mke wake kuvaa suruwali [nyumbani] kwake tu? Jibu: Hapana, asimuamrishe hilo. …