Swali: Mtu amepewa zawadi kutoka kwa rafiki yake na baba wa rafiki yake anafanya kazi katika benki akiwa msimamizi wa wafanyakazi wa kutoa na kupokea fedha. Ni ipi hukumu ya kuipokea zawadi hiyo?
Jibu: Hakuna tatizo katika hilo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
- Imechapishwa: 24/09/2026
Swali: Mtu amepewa zawadi kutoka kwa rafiki yake na baba wa rafiki yake anafanya kazi katika benki akiwa msimamizi wa wafanyakazi wa kutoa na kupokea fedha. Ni ipi hukumu ya kuipokea zawadi hiyo?
Jibu: Hakuna tatizo katika hilo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
Imechapishwa: 24/09/2026
https://firqatunnajia.com/kupokea-zawadi-ya-mtu-ambaye-baba-yake-anafanya-kazi-benki/