Swali: Ipi hukumu ya kuvaa suruwali ya jeans na kanzu juu yake? Na je ni katika mavazi ya makafiri?
Jibu: Kila amabacho hakisitiri na kina fitnah haijuzu kukivaa, na suruwali ina fitnah. Kwa kuwa inabainisha viungo vya mwili wa mwanamke na maumbile ya mwanamke, akamfitinisha yule anayemwangalia.
Haijuzu kwa mwanamke kuvaa suruwali kwa hali yoyote, kama kweli anamuogopa na kumcha Allaah.Na haijuzu kuziuza kwa wanawake na thamani yake ni Haramu, haijuzu kuziuza kwa wanawake.
Kwa masikitiko makubwa leo sehemu za mavazi hukuti mavazi ya Kishari´ah, bali unakuta mavazi ya kimagharibi na mavazi yasiyositiri. Wanaziuza na wanakula thamani yake na wanakuwa tajiri kwazo.
- Muhusika: ´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=127853
- Imechapishwa: 07/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket