Swali: Vipi kuhusu wafungaji ambao wanafungua kwa kutazama kalenda?

Jibu: Hapana vibaya. Kamati ya msikiti ni yenye kujitahidi, nzuri na matendo yake ni mazuri. Adhaana inakuwa kwa mujibu wa kalenda. Hapana vibaya kwa hilo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22807/ما-حكم-الافطار-على-وقت-التقويم
  • Imechapishwa: 25/08/2023