Mambo kama haya hayatakiwi kuchukuliwa picha na kuenezwa

Swali: Je, inatosha katika kuthibitisha adhabu ya uzinzi kuchukua video camera au bado ni lazima kupatikane mashahidi wanne?

Jibu: Picha haijuzu. Machafu hayachukuliwi picha. Huku ni kuenea machafu. Haijuzu.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (46)
  • Imechapishwa: 27/07/2024