Kumwombea du´aa baba katika kila Sujuud

Swali: Katika kila sujuud ya swalah ya faradhi namwombea du´aa baba yangu. Je, inafaa kuendelea kufanya umaalum huu?

Jibu: Ndio, inafaa. Unalipwa thawabu – Allaah akitaka.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
  • Imechapishwa: 27/07/2024