Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Enyi watu! Kila mmoja wenu anamnong´oneza Mola wake. Hivyo wamoja wasisome Qur-aan kwa sauti juu ya wengine.”
Kama kuna wamoja wanaosoma Qur-aan na wengine wanaswali na kati yao kukawa ambaye anasoma kwa sauti ya juu. Je, mtu huyo aambiwe kuwa Kila mmoja wenu anamnong´oneza Mola wake na hivyo ashushe sauti yake?
Jibu: Ndio, ambainishie ashushe sauti yake. Kama ambavo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alivyowabainishia wale wanaoswali msikitini:
“Enyi watu! Kila mmoja wenu anamnong´oneza Mola wake. Hivyo wamoja wasisome Qur-aan kwa sauti juu ya wengine.”
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23443/معنى-كلكم-يناجي-ربه-في-الحديث
- Imechapishwa: 23/01/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)