Swali: Baadhi ya makabila yamewekeana kikomo cha mahari kati yao na wakakubaliana juu ya kikomo hicho. Je, ni lazima kufanyia kazi kiwango hicho kwa njia ya Shari´ah?
Jibu: Hapana, sio lazima kufanya hivo. Allaah (´Azza wa Jall) amesema:
وَإِنْ أَرَدتُّمُ اسْتِبْدَالَ زَوْجٍ مَّكَانَ زَوْجٍ وَآتَيْتُمْ إِحْدَاهُنَّ قِنطَارًا فَلَا تَأْخُذُوا مِنْهُ شَيْئًا
“Na mkitaka kubadlisha mke mahali pa mke, na mmempa mmoja wao [zawadi ya] mirundi ya mali, basi msichukue humo chochote.”[1]
Mahari hayana kikomo na hivyo haitakiwi kuyawekea kikomo.
[1] 04:20
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
- Imechapishwa: 23/07/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
Mtawala kuwawekea wananchi kikomo cha mahari
Swali: Je, inafaa kwa mtawala kuweka kikomo cha mahari? Jibu: Hakuna dalili.
In "Mahari"
12. Mahari yanatakiwa kutolewa yote kikamilifu
Miongoni mwa haki za wanandoa wakati wa kufunga ndoa ni mwanaume ampe mwanamke mahari yake yote kikamilifu. Yasipunguzwe. Yatolewe kama jinsi wanandoa walivyokubaliana. Allaah (Ta´ala) Amesema: وَآتُوا النِّسَاءَ صَدُقَاتِهِنَّ نِحْلَةً "Na wapeni wanawake mahari zao kwa maridhawa."[1] Amesema (Ta´ala) vilevile: وَإِنْ أَرَدتُّمُ اسْتِبْدَالَ زَوْجٍ مَّكَانَ زَوْجٍ وَآتَيْتُمْ إِحْدَاهُنَّ قِنطَارًا فَلَا…
In "Haqq-uz-Zawjayn"
23. Sababu ya kumi na tisa ya talaka ambayo ni mahari makubwa
19 – Mahari kuwa makubwa na gharama kubwa za sherehe za harusi ambazo zinamtia uzito yule mume Pengine mtu akahoji kuwa hiyo ni moja miongoni mwa sababu za kuacha kuoa. Hapana. Hili pia ni sababu moja wapo ya talaka. Kivipi? Kwa sababu ya yale aliyoyatoa mume katika mahari na gharama…
In "at-Twalaaq - asbaabuhu wa ´ilaajuh - Shaykh Jamal bin Furayhaan"