Swali: Tunaomba mtuwekee wazi ni nini Bid´ah na aina zake?
Jibu: Bid´ah ni ´ibaadah ambazo hazikuweka Allaah. Kama mfano wa kusherehekea maulidi, usikuwa Israa´ na Mi´raaj, muadhini kunyanyua sauti kwa kumswalia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) baada ya kumaliza kutoa adhaana na mfano wa hayo. Kuna wanachuoni waliotunga vitabu kuhusu Bid´ah na aina zake. Tutaelekeza katika baadhi yavyo:
1 – Kitaab-us-Sunan wal-Mubtada´aat cha Shaykh Muhammad Ahmad ´Abdis-Salaam al-Hawaamidiy.
2 – Kitaab-ul-Ibdaa´ fiy Madhwaar-il-Ibtida´aah cha Shaykh ´Aliy al-Mahfuudhw.
Vyote viwili ni vya wanachuoni wa Misri. Kabla yavyo kwa muda mrefu kuliandikwa kitabu “al-Bid´ah wan-Nahiy ´anhaa” cha Imaam Muhammad bin al-Wadhdhwaah na kitabu “al-I´tiswaam” cha ash-Shaatwibiy.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/327)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)