Swali: Kuhusiana na kusimama kwa ajili ya kuswali. Baadhi ya watu wanapomuona imamu wanasimama na wengine wanasimama pindi muadhini anaposema:

قد قامت الصلاة

“Swalah imekwishasimama.”

Jibu: Jambo ni lenye wasaa. Kuanzia mwanzo mpaka mwisho wake. Jambo ni lenye wasaa. Asimame wakati kunapokimiwa; mwanzoni, katikati na mwishoni mwake. Muhimu ni kwamba asimame kabla ya imamu kuanza kuswali.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23328/متى-يكون-القيام-للصلاة-عند-الاقامة
  • Imechapishwa: 27/12/2023