Swali: Kuwepo kwa neno “HALAAL” (حلال) kwenye paketi ya nyama kunaondosha utata kwamba haikuchinjwa kwa njia isiyokuwa ya Kishari´ah?
Jibu: Hapana. Kuna uwezekano paketi hii ikawa ni ya nyama nyingine. Vilevile huenda wanataka kuwahadaa watu ndio maana wakaziweka ndani ya paketi hii. Jambo hilo halifanyi kuwa zimechinjwa kwa njia ya Kishari´ah maadamu hakuna cheti au muhuri wenye kuaminika juu yake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)