Swali: Ni ipi hukumu ya ambaye anawarekodi video katika darsa, mihadhara na vikao vya wanawake, kwa njia ya kwamba inaonekana miili yao iliyositiriwa vizuri, lakini si nyuso zao, kwa lengo la kulingania kwa Allaah?

Jibu: Kama nilivosema haijuzu. Sina jengine jipya la kusema. Haijuzu. Kitendo chenyewe hichi hakijuzu.

  • Mhusika: Shaykh Swaalih bin Sa´d as-Suhaymiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://darulhadith.com/filmning-av-heltackta-kvinnor-i-kallande-syfte/
  • Imechapishwa: 31/08/2023