Swali: Ni ipi hukumu ya kuwahamasisha wanawake kusoma katika chuo kikuu cha mchanganyiko kwa hoja eti wasiwategemei wanaume wao na kwamba wawe wameelimika pindi watapoachika?

Jibu: Hiyo sio hoja. Wasisome katika chuo kikuu cha mchanganyiko. Haijuzu.

  • Mhusika: Shaykh Swaalih bin Sa´d as-Suhaymiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://darulhadith.com/for-att-inte-bero-pa-sina-man/
  • Imechapishwa: 31/08/2023