Swali: Kuna mtu anatakiwa kutoa kafara kadhaa ya kiapo. je, inafaa akatoa pesa kumpa jirani ambaye ni fakiri au jamaa ambao wanadaiwa?
Jibu: Allaah (Ta´ala) amesema:
فَكَفَّارَتُهُ إِطْعَامُ عَشَرَةِ مَسَاكِينَ
”Basi kafara yake [ya kiapo] ni kulisha maskini kumi… ” (05:89)
Ni lazima kulisha masikini kumi chakula cha mchana au chakula cha jioni.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/هل-يجوز-إخراج-كفارات-اليمين-نقداً-للجار-الفقير-أو-للقريب-المديون
- Imechapishwa: 11/06/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket