Kutoa kafara ya yamini pesa badala ya chakula II

Swali: Kuna mtu anatakiwa kutoa kafara kadhaa ya kiapo. je, inafaa akatoa pesa kumpa jirani ambaye ni fakiri au jamaa ambao wanadaiwa?

Jibu: Allaah (Ta´ala) amesema:

فَكَفَّارَتُهُ إِطْعَامُ عَشَرَةِ مَسَاكِينَ

”Basi kafara yake [ya kiapo] ni kulisha maskini kumi… ” (05:89)

Ni lazima kulisha masikini kumi chakula cha mchana au chakula cha jioni.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/هل-يجوز-إخراج-كفارات-اليمين-نقداً-للجار-الفقير-أو-للقريب-المديون
  • Imechapishwa: 11/06/2022