Swali: Je, inafaa kwa mtu kutaja hali zake za zamani za maasi kwa lengo la kutoa mawaidha na mazingatio?
Jibu: Hapana, hayo ni baina yake na Mola wake. Ambaye Allaah amemsitiri basi aisitiri nafsi yake na ajitahidi kutubia kwa Allaah na kumuomba usalama.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23094/هل-يجوز-ذكر-المعاصي-الماضية-للاتعاظ
- Imechapishwa: 30/10/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)