Swali: Inajuzu kufanya Tabarruk kwa maji ya zamzam na inakuwa vipi?
Jibu: Ndio, inajuzu kufanya Tabarruk kwa maji ya zamzam kwa ajili Allaah amefanya kuwa ni yenye baraka. Allaah ameweka ndani yake baraka. Yanakunywa kama dawa na kutafuta thawabu kutoka kwa Allaah (Subhanaahu wa Ta´ala). Zamzam ni maji yenye baraka.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
- Imechapishwa: 21/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)