Kuswali nyuma ya anayeona kuwa nyama ya ngamia haichengui wudhuu´

Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali nyuma ya aliyekuwa nyama ya ngamia na yeye anaona kuwa haichengui wudhuu´?

Jibu: Hapana neno. Aitakidi kusihi kwa swalah yake.

Swali: Hapana vibaya kuswali nyuma yake?

Jibu: Swalah yake ni sahihi. Ni mambo ambayo wanazuoni wamekinzana kwayo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23346/حكم-الصلاة-خلف-من-اكل-لحم-الابل
  • Imechapishwa: 30/12/2023