Swali: Kuhusiana na mkao wa watu walioghadhibikiwa[1] ni kuhusu ndani ya swalah peke yake au katika hali zote?

Jibu: Udhahiri wa Hadiyth ni kuenea.

Swali:  Lakini ni kuhusu kuweka mkono wa kushoto peke yake?

Jibu: Ndio.

Swali: Maneno yake:

“Mkao wa watu walioghadhibikiwa.”

yamethibiti?

Jibu: Udhahiri wa Hadiyth ni kwamba inakataza mkao wa watu walioghadhibikiwa.

Swali: Ni Swahiyh?

Jibu: Haina neno.

[1] Kuegemea mkono wa kushoto kwa nyuma ya mgongo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23345/حكم-جلسة-المغضوب-عليهم-بالصلاة-وغيرها
  • Imechapishwa: 30/12/2023