Kumnyoa mtoto wa kuzaliwa imependekezwa

Swali: Kuhusiana na kunyoa nywele za mtoto mchanga ni wajibu au Sunnah?

Jibu: Imependekezwa kumnyoa nywele mtoto wa kiume siku ya saba tokea siku ile aliyozaliwa. Hii ni Sunnah. Hana dhambi ikiwa hatomnyoa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-08-07.mp3
  • Imechapishwa: 17/08/2020