Swali: Kuhusiana na kunyoa nywele za mtoto mchanga ni wajibu au Sunnah?
Jibu: Imependekezwa kumnyoa nywele mtoto wa kiume siku ya saba tokea siku ile aliyozaliwa. Hii ni Sunnah. Hana dhambi ikiwa hatomnyoa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-08-07.mp3
- Imechapishwa: 17/08/2020
Swali: Kuhusiana na kunyoa nywele za mtoto mchanga ni wajibu au Sunnah?
Jibu: Imependekezwa kumnyoa nywele mtoto wa kiume siku ya saba tokea siku ile aliyozaliwa. Hii ni Sunnah. Hana dhambi ikiwa hatomnyoa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-08-07.mp3
Imechapishwa: 17/08/2020
https://firqatunnajia.com/kumnyoa-mtoto-wa-kuzaliwa-imependekezwa/