Swali: Mtu akitawadha kisha baada ya hapo akakata kucha zake?
Jibu: Haidhuru. Haidhuru.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22913/حكم-من-توضا-ثم-قلم-اظفاره
- Imechapishwa: 15/09/2023